Jumamosi, 2 Aprili 2016

UJUMBE WA APRIL 02 KUTOKA MITH.

28Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu. Soma: http://goo.gl/lmsmxr

Ijumaa, 19 Februari 2016

KILA LA KHERI MECHI YA SIMBA NA YANGA 20.02.2016

Mtandao wa habarishinyanga.chatguest.com unawatakia KILA LA KHERI wapenzi, wanachama na mashabiki wa vilabu vya SIMBA na YANGA katika mchezo wao wa VPL wa pili na wa 92 kukutana.
http://goo.gl/K7BX1X
ENENDENI KATIKA AMANI YA BWANA.

Ijumaa, 15 Januari 2016

UJUMBE WA LEO KWA WANA NA MABINTI:

Kumbukumbu la Torati 27:16
"Na alaaniwe amdharauye baba yake au mama yake.
Na watu wote waseme, Amina".
Fungua,
http://goo.gl/9pCT23

Ijumaa, 1 Januari 2016

UELEWA WA KISIASA KATIKA SIASA ZA TANZANIA

Hicho kinachosemwa kuwa ni uvumilivu baada ya KUKATWA au KUPIGWA CHINI katika uchaguzi wa Oktoba 25, 2015, ni TUNU ya uelewa wa DHANA ya uchaguzi na kukubali matokeo.

DUNIANI HAKUNA SIRI

Duniani kuna matamko tu ya kuwa jambo fulani ni SIRI, lakini waliokula kiapo cha kuficha MAUDHUI yanayofichwa.., kwao hayo si siri kwani wanayajua na wanaweza KUYAFICHUA.

Jumanne, 3 Novemba 2015

Watanzania wengi kwa ujumla wao wanashangilia na kushabikia wito wa kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa 25/10/2015 bila hata kuwa na uhakika wa kile kinachowafanya waandamane, wanaamini tu kila kinachosemwa na UKAWA hata kama kimefinywangwa tu.
Kwa kuwa suala ni kuamini tu, basi waamini tu na ule upande wa pili.
WAMEBANIKWA KWA AJILI YA HASARA YA BAADAYE.