Ijumaa, 15 Januari 2016

UJUMBE WA LEO KWA WANA NA MABINTI:

Kumbukumbu la Torati 27:16
"Na alaaniwe amdharauye baba yake au mama yake.
Na watu wote waseme, Amina".
Fungua,
http://goo.gl/9pCT23

Ijumaa, 1 Januari 2016

UELEWA WA KISIASA KATIKA SIASA ZA TANZANIA

Hicho kinachosemwa kuwa ni uvumilivu baada ya KUKATWA au KUPIGWA CHINI katika uchaguzi wa Oktoba 25, 2015, ni TUNU ya uelewa wa DHANA ya uchaguzi na kukubali matokeo.

DUNIANI HAKUNA SIRI

Duniani kuna matamko tu ya kuwa jambo fulani ni SIRI, lakini waliokula kiapo cha kuficha MAUDHUI yanayofichwa.., kwao hayo si siri kwani wanayajua na wanaweza KUYAFICHUA.